1. Hata panga iwe kali aje haiwezi kata kiu.
2. Hata uwe na magari mia, choo utaenda miguu
3. Hata uwe fundi aje huwezi repair breaking news
4. Hata uwe mweupe aje shadow yako bado itakuwa nyeusi
5. Hata uwe mrefu aje huwezi ona kesho
6. Hata manzi ajifanye maringo aje pia simba na ukali wake hutiwa mimba
7. Hata redio yako iwe noma aje haiwezi shika police station
8. Hata uwe kinyozi hodari aje huwezi nyoa vichwa vya habari
9. Hata uwe na bahati vipi huweziokota nyumba
10. Hata dem ajifanye baunsa aje hawezi tembea kifua wazi
11. Hata uwe mfupi aje hauwezi shindwa kuruka mwaka.
12. Hata uwe mhot aje uwezi washa candle,
13. Hata uwe sonko aje huwezy nunua ufalme wa mbinguni.
14. Hata uwe mkali aje huwezi kata mti
15. Ata uwe clean aje huwezi osha vyombo vya habari
16. Ata uwe fala aje hwezi fail HIV test.
17. Hata uwe msafi aje Towel lazima itachafuka
